Matangazo mbalimbali ya KAZI na/au TENDA ndani na nje ya Tanzania!
Saturday, October 1, 2016
Ushindi wa Netanyahu wawaudhi Wapalestina
Ushindi wa Benjamin Netanyahu wa Israel umepokelewa kwa tahadhari na jamii ya kimataifa na Wapalestina, hasa kutokana na utata wa mchakato wa amani unaoambatanishwa na uundwaji wa taifa huru la Palestina.
No comments:
Post a Comment